Thursday, January 21, 2010

MATAPELI WA INTERNET.

MATAPELI WA INTERNET.

Kuna email inatumwa ikiwa na subject ya  "Yahoo  Update" au "Gmail Update" au "Hotmail Update". Hii Email inauliza User Name, Password, Birth Date, na Country. Tafadhali usijaze wala kuijibu email hiyo. Ni watu wanaofanya biashara ya utapeli. Ukijibu email hiyo, hutaweza tena kufungua email account yako tena. Password yako itabadilishwa, na email account yako itapata mmiliki mpya ambaye ataanza kuifanyia  biashara za kitapeli. Rafiki zako watatumiwa email kwamba umekwama nchi fulani, na unahitaji msaada wa kifedha. Tafadhali kuwa makini sana . Eneza ujumbe huu kwa rafiki zako wote.... Forward email hii kwa rafiki zako wote. Kwa sababu za kiusalama na unyeti wa taarifa hii, tafadhali usibadili lugha ya email hii. Iforward kama ilivyo.
Ahsante.


 Thanks and Best Regards;


No comments:

Post a Comment